LOVE
FRIENDS
CARE
NI KAMA FAMILIA
NI MR APRONALY NESTRO NILIYE KUTANA NAE KATIKA SHUGHULI ZANGU ZA DOG HANDLER MIKUMI WILAYA YA KINONDONI MTAA WA MAGOMENI... KEEP DOING WHAT YOU DOING MR APRONALY
KENNEL MANAGEMENT NI UTUNZAJI WA MABANDA YA MBWA KATIKA USAFI WA MABANDA YENYEWE NDANI UJENGWAJI WAKE NA MATUNZO YAKE KWA UJUMLA
KENNEL YA MBWA INATAKIWA IJENGWE KATIKA MFUMO WA KISASA AMBAO UTAMPA MBWA NAFASI YA KUTOSHA KUANZIA SEHEMU YAKE YA KULALA NA SEHEMU YA KULA
KENNEL INAYO LUHUSU MWANGA WA JUA
PUPPY WAKIWA KWENYE KENNEL YAO
SEHEMU NILIYO WAKUTA
CARE AND LOVE
NI SAFARI NDEFU ILIYO JAA UVUMILIVU NA MATUMAINI NDANI YAKE ILI KUWEZA KUWA DOG HANDLER...MR MOKIWA AKIWA KATIKA KOZI YAKE YA DOG HANDLER UKU AKIWA NA MBWA WAKE ANYEITWA LUCK...
- BARKING
- Attention-seeking
- Anxiety
- Boredom
- Responding to other dog
Chewing is natural action for all dog.it just a part of the way of wired However chewing can become a behavior problem if your dog course destruction THE MOST REASON
- Puppy teething
- boredom and excess energy
Most dog will do some amount of digging -its a matter of instinct certain breeds,like terriers are more prone to digging because of their hunting histories. in general most of dog dig for this REASON
- Boredom for exchange Energy
- Anxiety for fear
- Hunting instinct
- to escape
- gain access
Inappropriate urination and defecation among the most frustrating a dog behavior they can damage area of your home
5 BEGGING
Begging is a bad habit,but many dog owners unfortunately encourage it this can lead to digestive problems and obesity. Dogs beg because they love food - but table scraps are not treats, and food is not love! Yes, it is hard to resist that longing look, but giving in "just this once" creates a problem in the long run. In a pack setting, a subordinate would never beg from alpha dogs without reprimand. When you teach your dog that begging is permitted
6 CHASING
A dog's desire to chase moving things is simply a display of predatory instinct. Many dogs will chase other animals, people and cars. All of these can lead to dangerous and devastating outcomes! While you may not be able to stop your dog from trying to chase, you can take steps to prevent disaster.
- Keep your dog on a leash at all times (unless directly supervised indoors)
- Train your dog to
- Have a dog whistle or noisemaker on hand to get your dog's attention.
- Stay aware and watch for potential triggers, like joggers
7 BITING
Dogs bite for reasons that can be traced back to instinct and pack mentality. Puppies bite and nip on other dogs and people as a means for exploring their environment and learning their place in the pack. Owners must show their puppies that mouthing and biting are not acceptable Beyond puppy behavior, the motivation to bite or snap typically comes from the following:
- Fear or Defensiveness
- Dominance Assertion
- Pain or Sickness
- Predatory Instinct
- Protection of Property
GERMAN SHEPHERD
JINA HALISI LA MBWA HUYU LIMETOKA NCHINI UJERUMANI HUKO NDIPO ASILI YAKE G.S.D
KILO :
MBWA DUME ANA UZITO WA KILO 30 - 40kg
MBWA JIKE ANA UZITO WA KILO 22 - 32kg
UREFU :
MBWA DUME ANA UREFU WA 60 - 65cm
MBWA JIKE ANA UREFU WA 55 - 60cm
MNAMO MWAKA 1899 MBWA HUYU ALIKUA ANATUMIKA KUCHUNGA MIFUGO AINA YA KONDOO KWA KUA ALIKUA NA AKILI,NGUVU NA UTII. GERMAN SHEPHERD KOTOKANA NA TABIA YA MBWA HUYU KUA NA AKILI USTAHIMILIVU JUHUDI NA KUA NA UTII VILEVILE KUELEWA JAMBO KWA HARAKA IKMPELEKEA MBWA HUYU KUTUMIWA KATIKA SHUGHULI NYINGINE KATKA JAMII ZETU KAMA VILE ZA ULINZI,UOKOAJI,UPEKUZI NA VILEVILE UKAMATAJI WA WAHALIFU KAMA ANAVYO TUMIWA NA POLISI NA WANAJESHI KATIKA SHUGHULI HIZO.
MBWA HUYU ANAISHI KUANZIA MIAKA 9 HADI 13, GERMAN SHERPHERD NI MAARUFU NCHINI MAREKANI ANASHIKA NAMBA 4 UKO UINGEREZA KATIKA AINA ZA MBWA.
PIA NI SUPER STAR
GERMAN SHEPHERD AMEKUA MAARUFU ULIMWENGUNI KUTOKANA KUTUMIKA KATIKA VITABU kama THE BOOK OF INTELLIGENCE OF DOGS. kilichoand ikwa na STANLEY COREN MNAMO mwaka 1921 ALIWEZA KUTUMIWA KATIKA STRONGHERT, PIA AKAWA MMOJA YA WANYAMA WA MWANZONI KUTUMIKA KATIKA FILAMU ya RIN TIN TIN mwaka 1922,WAKA HESABIKA KAMA MBWA MAARUFU HADI KUFIKIA KUWA NA ( STAR ON HOLLYWOOD WALK OF FAME)