JE WAMFAHAMU MBWA AINA YA GERMAN SHEPHERD



GERMAN SHEPHERD
JINA HALISI LA MBWA HUYU LIMETOKA NCHINI UJERUMANI HUKO NDIPO ASILI YAKE G.S.D

KILO :
 MBWA DUME ANA UZITO WA KILO 30 - 40kg
MBWA JIKE ANA UZITO WA KILO 22 - 32kg

UREFU :
MBWA DUME ANA UREFU WA 60 - 65cm
MBWA JIKE ANA UREFU WA 55 - 60cm

MNAMO MWAKA 1899 MBWA HUYU ALIKUA ANATUMIKA KUCHUNGA MIFUGO AINA YA KONDOO KWA KUA ALIKUA NA AKILI,NGUVU NA UTII. GERMAN SHEPHERD KOTOKANA NA TABIA YA MBWA HUYU KUA NA AKILI USTAHIMILIVU JUHUDI NA KUA NA UTII VILEVILE KUELEWA JAMBO KWA HARAKA IKMPELEKEA MBWA HUYU KUTUMIWA KATIKA SHUGHULI NYINGINE KATKA JAMII ZETU KAMA VILE ZA ULINZI,UOKOAJI,UPEKUZI NA VILEVILE UKAMATAJI WA WAHALIFU KAMA ANAVYO TUMIWA NA POLISI NA WANAJESHI KATIKA SHUGHULI HIZO.

MBWA HUYU ANAISHI KUANZIA MIAKA 9 HADI 13, GERMAN SHERPHERD NI MAARUFU NCHINI MAREKANI ANASHIKA NAMBA 4 UKO UINGEREZA KATIKA AINA ZA MBWA.

PIA NI SUPER STAR
GERMAN SHEPHERD AMEKUA MAARUFU ULIMWENGUNI KUTOKANA KUTUMIKA KATIKA VITABU kama THE BOOK OF INTELLIGENCE OF DOGS. kilichoand ikwa na STANLEY COREN MNAMO mwaka 1921 ALIWEZA  KUTUMIWA KATIKA STRONGHERT, PIA AKAWA MMOJA YA WANYAMA WA MWANZONI KUTUMIKA KATIKA FILAMU  ya RIN TIN TIN mwaka 1922,WAKA HESABIKA KAMA MBWA MAARUFU HADI KUFIKIA KUWA NA ( STAR ON HOLLYWOOD WALK OF FAME)
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment