KENNEL MANAGEMENT NI UTUNZAJI WA MABANDA YA MBWA KATIKA USAFI WA MABANDA YENYEWE NDANI UJENGWAJI WAKE NA MATUNZO YAKE KWA UJUMLA



KENNEL YA MBWA INATAKIWA IJENGWE KATIKA MFUMO WA KISASA AMBAO UTAMPA MBWA NAFASI YA KUTOSHA KUANZIA SEHEMU YAKE YA KULALA NA SEHEMU YA KULA 


KENNEL INAYO LUHUSU MWANGA WA JUA 


MPANGILIO ULIO BORA KABISA

 




PUPPY WAKIWA KWENYE KENNEL YAO

 
SEHEMU NILIYO WAKUTA

CARE AND LOVE 



NI SAFARI NDEFU ILIYO JAA UVUMILIVU NA MATUMAINI NDANI YAKE ILI KUWEZA KUWA DOG HANDLER...MR MOKIWA AKIWA KATIKA KOZI YAKE YA DOG HANDLER UKU AKIWA NA MBWA WAKE ANYEITWA LUCK...



Next PostNewer Posts Previous PostOlder Posts Home