KENNEL MANAGEMENT NI UTUNZAJI WA MABANDA YA MBWA KATIKA USAFI WA MABANDA YENYEWE NDANI UJENGWAJI WAKE NA MATUNZO YAKE KWA UJUMLA
KENNEL YA MBWA INATAKIWA IJENGWE KATIKA MFUMO WA KISASA AMBAO UTAMPA MBWA NAFASI YA KUTOSHA KUANZIA SEHEMU YAKE YA KULALA NA SEHEMU YA KULA
KENNEL INAYO LUHUSU MWANGA WA JUA
0 comments:
Post a Comment